News

  • PROF. MBARAWA AITAKA BODI MPYA YA TAA KUSITISHA AJIRA ZA UPENDELEO

    October 26, 2016

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameitaka Bodi mpya ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kusimamia Menejimenti ya Mamlaka hiyo katika Idara ya Utawala na Rasilimali watu ili kuhakikisha ajira zote zinazotolewa zinazingatia sifa na vigezo vya kuajiri.

  • KIVUKO CHA MV MAGOGONI CHAANZA KAZI RASMI

    September 08, 2016

    Kivuko cha MV. Magogoni kimepokelewa na kuanza kazi rasmi ya kutoa huduma za usafirishaji kati ya eneo la Kigamboni na Magogoni mara baada ya kukamilika kwa ukarabati wake mkubwa.

.